Huko Maniema, Hospitali kuu ya Kailo, hospitali ya umma ya Jimbo, jengo la zamani la kampuni ya SAKIMA liko katika hali ya uchakavu. Pamoja na kutokuwa na jengo zuri, hospitali hiyo haina vifaa na haina dawa za kuwahudumia wagonjwa. Daktari wake msimamizi anatoa sauti ya kilio. Mgeni wetu daktari DUNIA ASAKAMBA CHRISTOPHE akijibu maswali ya Florence KIZA LUNGA.

Source: Radio Okapi

By admin