Labda kuelekea utimilifu wa maono ya gavana wa mkoa wa Maniema juu ya ukarabati wa barabara za Maniema kwa fedha kutoka kwa ushuru wa kawaida. Wiki chache kabla ya uzinduzi wa mpango huu, mkoa tayari umekusanya angalau dola elfu makumi ine kwa lengo hiyo. Hivyo MOUSSA KABWANKUBI MOÏSE pamoja na wadau wote waliamua kuanza kazi ya ukarabati wa barabara. Inaanza wikendi katika tarafa la Kailo kwenye barabara ya taifa namba makumi tatu na moja. Ili kuzungumzia hilo, tunampokea kama mgeni wetu wa siku liwali wa Maniema MOUSSA KABWANKUBI MOÏSE. Anazungumza na Florence KIZA LUNGA.

Source: Radio Okapi

By admin